2809; Rahisi kufanya.

By | September 9, 2022
2809; Rahisi kufanya. Ukichunguza kwa makini, utagundua kwamba matatizo yote ambayo umewahi kuwa nayo kwenye maisha, chanzo chake ni kukimbilia vitu rahisi kufanya. Hii ni asili yetu binadamu, huwa hatupendi vitu vigumu. Hivyo kila mara tunatafuta kilicho rahisi. Na huko pia ndipo tunapotengeneza matatizo mengi tunayokuwa nayo kwenye maksha. Hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In