2812; Kwanza umefanya?

By | September 12, 2022
2812; Kwanza umefanya? Hakuna kitu kinashangaza kama pale mtu anajua anachopaswa kufanya, ila hakifanyi, halafu analalamika kwa kukosa matokeo aliyotegemea. Hakuna namna matokeo yoyote yatakuja kimiujiza kwako bila ya kuchukua hatua na kufanya. Ukiangalia kila matokeo ambayo unayapata kwenye maisha yako, yanaendana kabisa na hatua ambazo ulichukua huko nyuma. Kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In