#SheriaYaLeo (319/366); Igiza chenye ushawishi.

By | September 15, 2022
#SheriaYaLeo (319/366); Igiza chenye ushawishi. Katika nyakati zozote tunazoishi, huwa kuna tabia fulani ambazo huwa zinaonekana chanya na kukubalika na wengine. Hizo ndizo tabia unazopaswa kujua jinsi ya kuzionyesha ili ukubalike na wengine na uwe na ushawishi. Kwa mfano, kuonekana mtakatifu kwa nje ni kitu ambacho hakijawahi kupitwa na wakati.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In