2815; Jeshi la mtu mmoja.

By | September 15, 2022
2815; Jeshi la mtu mmoja. Kikwazo kikubwa kabisa kwenye maisha yetu huwa kinaanzia kwenye fikra na mitazamo yetu. Vile ulivyo sasa, ni matokeo ya fikra ambazo zimetawala akili yako kwa muda mrefu. Moja ya mitazamo inayowakwamisha wengi kwenye safari ya mafanikio ni jeshi la mtu mmoja. Mtazamo wa jeshi la

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz