#SheriaYaLeo (320/366); Kuwa na roho ya ukarimu.

By | September 16, 2022
#SheriaYaLeo (320/366); Kuwa na roho ya ukarimu. Wote tumebeba majeraha na maumivu mbalimbali tangu utotoni. Kwenye maisha yetu ya kijamii, kadiri tunavyokua, tunakutana na hali za kuangushwa na kukatishwa tamaa. Hali hizo hutufanya tujione hatuna thamani na wala hatustahili vitu vizuri kwenye maisha. Wote huwa tuna nyakati za wasiwasi juu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz