#SheriaYaLeo (321/366); Tumia kivuli chako.

By | September 17, 2022
#SheriaYaLeo (321/366); Tumia kivuli chako. Tumeshaona jinsi ambavyo kila mtu ana kivuli ndani yako. Sehemu ya nafsi ya mtu ambayo anapenda kuificha kwa sababu haikubaliki sana kwa wengine. Nafsi hiyo huwa inakuwa na nguvu kubwa kama itaweza kutumiwa vizuri. Hivyo wajibu wako ni kuangalia namna gani unavyoweza kutumia kivuli chako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz