2822; Umalaya wa fursa.

By | September 22, 2022
2822; Umalaya wa fursa. Richard Branson amewahi kunukuliwa akisema fursa za biashara ni kama daladala, ukikosa moja, kuna jingine linakuja. Kwa maana rahisi ni kwamba fursa ni nyingi na haziishi. Lakini wanachokifanya walio wengi ni kutaka kupanda kila daladala. Pata picha umeenda kituo cha daladala, ikaja daladala ukaipanda, lakini kabla

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz