#SheriaYaLeo (329/366); Kaa kwenye kundi sahihi.

By | September 25, 2022
#SheriaYaLeo (329/366); Kaa kwenye kundi sahihi. Dhumuni la makundi mbalimbali ni kukamilisha majukumu, kufanya kazi, kutatua matatizo. Makundi yanakuwa na rasilimali muhimu ambazo zikitumika vizuri zinakuwa na tija kubwa. Lakini pia ndani ya kundi huwa kuna ushindani baina ya watu, ambao unaweza kuwasukuma watu kufanya zaidi. Kundi lenye afya huwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In