2824; Hakuna kushindwa.

By | September 24, 2022
2824; Hakuna kushindwa. Kitu kinachoitwa kwenye maisha hakipo kiuhalisia. Bali ni msamiati ulitengenezwa na jamii ili kuwadhibiti watu. Tunapoiangalia asili kwa namna inavyofanya kazi, tunaona wazi kabisa kushindwa hakupo. Kwenye eneo moja, panda mbegu za papai na embe. Siku chache mbegu za papai zitakuwa zimeota, ila mbegu za embe zitakuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz