2825; Unamtoa mtu.

By | September 25, 2022
2825; Unamtoa mtu. Kwenye maisha, kila mtu tayari ana mtu wake. Hivyo unapotaka kupata mtu, inabidi uwe tayari kumtoa aliyepo. Twende kwenye mfano ili tuelewane. Kama upo kwenye biashara, wateja unaowalenga tayari wana pengine wanaponunua hicho unachouza. Ili uwapate waje kununua kwako, lazima uwatoe kule walipo sasa. Siyo rahisi kumtoa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz