2829; Kuwaona huruma wasiojionea huruma.

By | September 29, 2022
2829; Kuwaona huruma wasiojionea huruma. Changamoto zetu kubwa kwenye maisha zinatokana na watu. Ni changamoto kubwa kwa sababu tunawahitaji sana watu, lakini ndiyo hivyo wanakuja na mambo yao ambayo yanatupa changamoto. Kwa kuwa tunawahitaji sana watu, kuna wakati tunakuwa hatutaki kuwapoteza, hivyo licha ya chagamoto wanazosababisha, tunaendelea kuwa nao. Na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz