#SheriaYaLeo (349/366); Ondoka kwenye mazoea na kuiga.

By | October 15, 2022
#SheriaYaLeo (349/366); Ondoka kwenye mazoea na kuiga. Huwa tunaiangalia dunia kwa kutumia mazoea na kuiga wengine. Tunafanya yale tuliyozoea kufanya au tunayowaona wengine wakifanya. Kuna mengi ambayo tunashindwa kuyang’amua kutokana na mazoea tunayokuwa nayo. Hayo yanatutaka kwenda zaidi ya mazoea na kuiga. Yanatutaka tutumie uwezo mkubwa ulio ndani yetu kuweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In