2845; Ni kufanya.

By | October 15, 2022
2845; Ni kufanya. Matokeo ni zao la kufanya. Haijalishi una mawazo na nia nzuri kiasi gani, kama hutafanya, hakuna matokeo utakayoyapata. Kuwa chanya au hasi haina maana kama hutafanya. Kipaumbele chako cha kwanza kinapaswa kuwa ni kufanya. Kufanya na kelele huwa haviendi pamoja. Wasiofanya watakuwa na maoni mengi kwako, jinsi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz