#SheriaYaLeo (356/366); Tumia kifo kuziondoa tofauti.

By | October 22, 2022
#SheriaYaLeo (356/366); Tumia kifo kuziondoa tofauti. Kifo ni moja ya vitu vinavyotuleta mahali pamoja wote. Ni kitu kinachotufanya wote kuwa sawa kwa sababu mwisho wa siku wote tutakufa. Haijalishi tofauti zetu kwenye maisha, wote njia yetu ni moja, kifo. Yote tunayobaguana nayo hayana tofauti kwenye kifo. Kwa kujua hatima hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In