2853; Ipokee kila siku kwa upendo.

By | October 23, 2022
2853; Ipokee kila siku kwa upendo. Upendo ndiyo nguvu kuu inayoiendesha dunia. Upendo ndiyo imani kuu inayowaleta watu wote pamoja. Upendo una nguvu kubwa ya kuleta mapinduzi kwenye maisha ya kila mtu. Ili kufanikiwa, unapaswa kuipokea kila siku kwa upendo mkuu. Unapaswa kuongozwa na upendo kila siku. Upendo unapaswa kuanzia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In