2875; Kujiamini na kiburi.

By | November 14, 2022
2875; Kujiamini na kiburi. Kwako rafiki yangu unayechanganya kujiamini na kiburi. Haina ubishi kwamba ili ufanikiwe, lazima ujiamini sana wewe mwenyewe. Lazima ujiamini kwamba unaweza kufanikiwa. Na lazima uweze kuvuka wasiwasi na kukatishwa tamaa na wengine. Ni kujiamini ndiyo kunakuvusha kwenye mambo mengi yanayowakwamisha wengine. Kujiamini ndiyo kutakuwezesha kuvuka vikwazo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz