2884; Usiuze, Sikiliza.

By | November 23, 2022
2884; Usiuze, Sikiliza. Kwako rafiki yangu mpendwa unayeona mauzo ni magumu na wateja hawataki unachouza. Utakwama kwenye mauzo kama unachofanya ni kuwalazimisha wateja kununua. Hata kama ni kitu ambacho tayari wanakihitaji, kitendo cha wewe kuwalazimisha wanunue inawafanya wawe na wasiwasi ambao unawafanya wasiwe tayari kununua. Ukijikuta inabidi uwalazimishe au hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz