2889; Tunaanza na matokeo, kisha njia.

By | November 28, 2022
2889; Tunaanza na matokeo, kisha njia. Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye unapata wakati mgumu kuwashawishi watu watumie njia mpya ambayo ni bora kuliko ya nyuma. Watu huwa wanapenda kufuata mazoea yao, hata kama kuna namna mpya inayoleta matokeo bora zaidi. Watu huwa ni wabishi na wagumu sana kubadilika, wanapenda uhakika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz