2913; Muhimu zaidi.

By | December 22, 2022
2913; Muhimu zaidi. Kwako rafiki yangu mpendwa unayesema unatingwa na mambo mengi kwenye biashara. Napenda kukuuliza, katika mengi yanayokutinga, mangapi ndiyo muhimu kabisa? Ni mambo yapi machache ambayo ukikusanya nguvu zako hapo unapata matokeo makubwa? Na muhimu zaidi, jambo lipi moja ambalo ukilipa kipaumbele cha kwanza, linaweza kuleta mapinduzi makubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz