2919; Watatenganishwa na fedha zao.

By | December 28, 2022
2919; Watatenganishwa na fedha zao. Kwako rafiki yangu mpendwa unayewaonea wateja huruma na fedha zao. Wateja wanakuambia hawana fedha au wamebaki na fedha kidogo na wewe unaona hupaswi kuwamalizia fedha zao kwa kuwauzia unachouza. Kama utayaendea mauzo na wateja kwa mtazamo huo, kamwe hutouza. Mauzo yatakuwa magumu sana kwako kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz