2936; Safisha kwanza.

By | January 14, 2023
2936; Safisha kwanza. Rafiki yangu mpendwa, Kama unataka kutumia kikokotozi kukokotoa hesabu fulani na ukakuta kikokotozi hicho tayari kina hesabu nyingine, unasafisha kwanza ndipo unaweka hesabu mpya. Kwa kuchanganya hesabu mpya na za zamani, unapata majibu yasiyo sahihi. Kabla hujapanda mazao kwenye shamba, unalisafisha kwanza kuondoa magugu. Ukipanda mazao kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In