2960; Usiwauzie, wafundishe.

By | February 7, 2023
2960; Usiwauzie, wafundishe.Rafiki yangu mpendwa,Mauzo yanakuwa magumu kwa wengi kwa sababu wamekuwa wakikazana kuwalazimisha watu kununua.Wanachosahau watu hao ni kwamba hakuna mteja anayependa kuona amelazimishwa kununua.Kuuza ni kufundisha na kufundisha ni kuuza.Wauzaji ambao wamekuwa wanaweka mbele kipaumbele cha kufundisha badala ya kuuza, wamekuwa wanaingiza kipato kikubwa sana.Wafundishe wateja wako jinsi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In