2989; Tusipingane na asili.

By | March 8, 2023
2989; Tusipingane na asili.Rafiki yangu mpendwa,Kuna mambo yanayokuwa yanatokea, ambayo tunaweza kuwa hatukubaliani nayo au yanakuwa kikwazo kwetu.Kwa kuwa tunataka kupata vitu fulani tunavyotaka, tunaona ni wajibu wetu kukabiliana na hayo yaliyotokea ili yasiwe kikwazo kwetu.Na hapo ndipo tunapotengeneza matatizo makubwa yanayogharimu muda wetu mwingi na kuwa kikwazo kwa mafanikio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In