2990; Usalama na Uhuru.

By | March 9, 2023
2990; Usalama na Uhuru.Rafiki yangu mpendwa,Sisi binadamu huwa tuna mahitaji mbalimbali kwenye ngazi mbalimbali za maisha yetu.Hitaji la chini na la msingi kabisa huwa ni usalama.Huwa tunapenda kuwa na uhakika kwamba maisha yetu yanaweza kuendelea bila ya kikwazo chochote.Hitaji la juu kabisa ni uhuru.Huwa tunapenda kuwa huru, kuyaendesha maisha yetu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In