Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1866; Aina Mbili Za Kuleta Mabadiliko Kwa Wengine…

By | February 9, 2020

Unapopanga kuingia kwenye biashara mpya au kukuza zaidi biashara unayofanya sasa, lazima kuna mabadiliko unapaswa kuyafanya kwa ajili ya wengine. Sasa kuna aina mbili za mabadiliko unayoweza kufanya. Aina ya kwanza ni kubadili namba ambavyo watu wamekuwa wanapata kile ambacho wanakitaka. Hapa hubadili wanachotaka, bali unabadili namna wanavyokipata. Unaweza kukiboresha (more…)

1865; Kabla Hujawa Tayari…

By | February 8, 2020

Ndiyo wakati sahihi kwako kuanza. Kwa sababu kama unasubiri mpaka uwe tayari ndiyo uanze, nina habari mbaya kwako, hutakuja kuanza, kwa sababu hakuna wakati ambao utakuwa tayari. Kabla hujaondoa kabisa hatari ndiyo wakati sahihi wa kufanya kitu, kwa sababu hakuna namna unaweza kuondoa kila aina ya hatari kwenye kitu. Kabla (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; USIENDELEZE MWILI PEKEE…

By | February 7, 2020

“There is nothing more harmful to you than improving only your material, animal side of life. There is nothing more beneficial, both for you and for others, than activity directed to the improvement of your soul.” – Leo Tolstoy Hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuendeleza mwili na kuisahau roho. (more…)

1864; Kuwauzia Wa Karibu Na Wa Mbali…

By | February 7, 2020

Kama una bidhaa au huduma, ambayo uko tayari kuwauzia watu wa mbali (wasiokujua) lakini haupo tayari kuwauzia watu wa karibu (wanaokujua) basi hiyo siyo bidhaa au huduma sahihi kuuza. Kadhalika kama unaweza kuwauzia watu wa karibu, lakini huwezi kuwauzia watu wa mbali ni makosa. Chochote unachouza, hakikisha unakiamini sana na (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; TAMAA YA NGONO…

By | February 6, 2020

“Sexual desire is the most all-consuming of desires. This desire is never sated, for the more it is satisfied, the more it grows.” – Leo Tolstoy Tamaa ya ngono ndiyo tamaa yenye madhara makubwa sana. Ni tamaa inayochukua nguvu zako nyingi. Na ni tamaa ambayo haitosheki, kadiri unavyoitimiza, ndivyo inavyozidi (more…)

1863; Yafanye Mambo Kuwa Rahisi…

By | February 6, 2020

Mpumbavu yeyote anaweza kuyafanya mambo kuwa magumu (compicated), inahitaji akili kuyafanya mambo kuwa rahisi (simplified). Chochote unachofanya, chochote unachojihusisha nacho, kifanye kiwa rahisi kwako na kwa wengine kukielewa. Unapotaka kuwashawishi watu kwa jambo lolote lile, lifanye kuwa rahisi kueleweka na watu hao. Siku za nyuma ilionekana ujanja ni kufanya mambo (more…)