Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1539; Tatizo Kubwa La Watu Wa Kawaida…

By | March 19, 2019

Tatizo kubwa la watu wa kawaida, ambao ndiyo sehemu kubwa ya watu katika zama hizi, hawapo kwenye chochote wanachofanya. Watu hawa wanaangalia lakini hawaoni, Wanasikiliza lakini hawasikii, Wanakula lakini hawaipati ladha, Wanagusa lakini hawapati hisia, Wanavuta pumzi bila ya kusikia harufu, Wanatembea bila ya kuwa na uelewa wa hatua mwili (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KANUNI KUU MBILI ZA HEKIMA…

By | March 19, 2019

“For there are two rules to keep at the ready—that there is nothing good or bad outside my own reasoned choice, and that we shouldn’t try to lead events but to follow them.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 3.10.18 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri (more…)

1538; Kujifunza Mara Moja Na Ikatosha…

By | March 18, 2019

Ni kitu ambacho kiliondoka na vita kuu ya pili ya dunia. Katika zama tunazoishi sasa, hakuna unachoweza kujifunza mara moja na ukawa umeshajua kiasi cha kutosha na ukawa huhitaji kujifunza tena. Chochote unachojifunza leo, siku siyo nyingi zijazo kuna maarifa mapya yatakayotoka, ambayo yanafanya ulichojifunza leo kisiwe sahihi tena. Katika (more…)

1537; Faida, Gharama Na Hatari…

By | March 17, 2019

Kila mtu anapenda faida kubwa, anapenda matokeo mazuri na makubwa na anapenda kupata zaidi ya alivyozoea kupata. Lakini wengi wamekuwa wanatumia muda na nguvu zao kufikiria ile faida wanayopata pekee. Na hivyo mtu anapokuja kwao na mpango wa kupata faida zaidi, au wa kupata manufaa makubwa, huwa wanakimbilia kufanyia kazi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UZURI WA KUCHAGUA…

By | March 17, 2019

“You are not your body and hair-style, but your capacity for choosing well. If your choices are beautiful, so too will you be.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 3.1.39b–40a Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo (more…)

1536; Sababu Mbili Zinazopelekea Wengi Kushindwa Kuvunja Tabia Mbaya Walizonazo…

By | March 16, 2019

Kama kuna tabia mbaya ambazo unashindwa kuzivunja, kunaweza kuwa na sababu kubwa mbili zinazosababisha ushindwe kuvunja tabia hizo. Sababu ya kwanza ni msongo wa mawazo, unapokuwa na msongo wa mawazo kuna baadhi ya tabia unaweza kuwa unazitumia kuondokana na msongo huo. Inawezekana ni manunuzi makubwa unayofanya ya vitu usivyohitaji, au (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SEHEMU TAKATIFU KWAKO…

By | March 16, 2019

“Hold sacred your capacity for understanding. For in it is all, that our ruling principle won’t allow anything to enter that is either inconsistent with nature or with the constitution of a logical creature. It’s what demands due diligence, care for others, and obedience to God.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 3.9 (more…)

1535; Kufikiri Ndani Ya Kundi…

By | March 15, 2019

Unapokuwa ndani ya kundi hupati tena nafasi ya kufikiri, badala yake unachukua fikra za kundi, unafanya kile ambacho kila mtu anafanya. Hivyo huna haja ya kujiumiza kufanya maamuzi magumu. Wengi hukimbilia urahisi huu, badala ya kufanya maamuzi magumu wao wenyewe, wanaingia ndani ya kundi na hivyo kufanya kile ambacho kila (more…)