1544; Kushindwa Kwako Kusiwe Maumivu Kwa Wengine…
Kila mtu anashindwa kwenye maisha, hakuna ubishi kwenye hilo, haijalishi umefanikiwa kiasi gani, kuna baadhi ya mambo utajaribu na kushindwa. Hata makampuni makubwa duniani, yamekuwa yanakuja na mawazo ya bidhaa au huduma mpya ambazo zinashindwa vibaya mno na kuanguka kwenye soko. Tatizo kwenye kushindwa linakuja pale ambapo kushindwa kwako unataka (more…)
