Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1519; Tenganisha Hisia Zako Na Fedha…

By | February 27, 2019

Kama hujagundua hili ni kwamba fedha haina hisia, fedha haijali, kwa kifupi fedha haina upande. Fedha ile ile ambayo mtu anaweza kumuua mtu akaiiba, anaweza kuipeleka kutoa sadaka na ikapokelewa bila ya shida yoyote, kwa sababu fedha haibebi alama yoyote kwamba imepatikana wapi. Hili ni jambo muhimu sana tunalopaswa kuelewa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; VINAVYOWASUMBUA WENGINE, VISIWE NA TOFAUTI KWAKO…

By | February 27, 2019

“Of all the things that are, some are good, others bad, and yet others indifferent. The good are virtues and all that share in them; the bad are the vices and all that indulge them; the indifferent lie in between virtue and vice and include wealth, health, life, death, pleasure, (more…)

1517; Je Una Maarifa Sahihi?

By | February 25, 2019

Moja ya sababu zinazopelekea watu wengi kukwama kwenye hatua wanazochukua, ni kukosa maarifa sahihi. Lakini kwa dunia ya sasa, ambayo ina wingi wa maarifa kuliko mtu yeyote anavyoweza kuyatumia, wengi huwa hawapendi kukubali kwamba hawana maarifa sahihi. Wengi hufikiri kwamba kwa kuzungukwa na maarifa basi tayari wanayo. Haina tofauti na (more…)

1516; Kikwazo Kikubwa Kwako Kubadili Tabia…

By | February 24, 2019

Ni mazingira, mara zote mazingira yamekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kubadili tabia. Huwezi kubadili tabia kama bado utabaki kwenye mazingira ambayo yanashawishi tabia unayotaka kuvunja. Kwa mfano unataka kuacha kunywa pombe, lakini marafiki zako wote ni wanyaji wa pombe, na mnakutaka kwenye eneo la unywaji wa pombe. Huwezi kabisa kuvunja (more…)

1515; Ubobezi Unahitaji Sifa Kuu Mbili…

By | February 23, 2019

Kabla ya kufikia mafanikio makubwa, lazima kwanza ubobee kwenye kile unachofanya. Iwe ni kazi, biashara au chochote unachofanya, lazima uwe mbobezi, lazima uwe kwenye asilimia 1 ya juu ya wale wanaofanya kitu hicho. Sasa wengi wamekuwa wanakwama kwenye ubobezi, wanaanza kufanya kitu, mwanzoni wanakuwa na kasi kubwa kwenye kujifunza na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HALI HAZIJALI HISIA ZAKO…

By | February 23, 2019

“You shouldn’t give circumstances the power to rouse anger, for they don’t care at all.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 7.38 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi (more…)