1514; Sifa Ndogo Ndogo Zitakazokuwezesha Kufanikiwa Kwenye Ujasiriamali…
Tunapoyaangalia mafanikio kwenye ujasiriamali na hata maisha kwa ujumla huwa tunaangalia mambo makubwa makubwa. Kama kuwa na wazo la kimapinduzi, kuwa na mtaji mkubwa na hapa kuwa na timu kubwa ya kutuwezesha kupiga hatua zaidi. Yote haya ni mazuri sana, lakini wote tunajua kwamba ni wachache sana wanaopata bahati ya (more…)
