Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#TAFAKARI YA LEO; UKIACHA KUFUATILIA YA WATU UTAPATA MUDA WA KUTOSHA…

By | March 11, 2018

How much time he saves who does not look to see what his neighbor says or does or thinks. – Marcus Aurelius Ni asubuhi nyingine nzuri kwetu, siku mpya kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunakwenda kufanya (more…)

UKURASA WA 1165; Kufanya Kitu Ambacho Hakijawahi Kufanywa Kabisa…

By | March 10, 2018

Mtu anaposema hajaingia kwenye biashara kwa sababu hajui biashara gani afanye, huwa napata wakati mgumu sana kuelewa. Kwamba huyu mtu anaishi kwenye jamii ambayo hakuna biashara yoyote inayofanyika? Au anaishi kwenye jamii ambayo watu hawana shida wala mahitaji yoyote? Ukichunguza kwa ndani watu hao wapo kwenye jamii yenye kila aina (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKIWA VIZURI UNAKUWA NA USHAURI MZURI…

By | March 10, 2018

When we are well, we all have good advice for those who are ill. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nzuri na ya kipekee kwetu. Ni nafasi nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kupata matokeo bora sana. Kwa mwongozo wa (more…)

UKURASA WA 1164; Kuungana Na Wengine, Kutengana Na Wewe Mwenyewe…

By | March 9, 2018

Upo usemi ambao umekuwa unatumika kama utani kwamba simu ina nguvu ya kuwaleta karibu walio mbali, na kuwaweka mbali walio karibu. Yaani mtu anapokuwa na simu anaweza kuwasiliana na yeyote, lakini watu wawili walio na simu wanapokuwa pamoja, kila mtu anakuwa kwenye simu yake. Sasa kauli hii inakwenda ndani zaidi. (more…)

UKURASA WA 1163; Nini Kitatokea Kama Utapotea Ghafla…

By | March 8, 2018

Mara ghafla kesho biashara yako haipo tena, huwezi tena kutoa kile ambacho umekuwa unatoa kwa wateja wako. Nini kitatokea kwa wateja wako ambao ulikuwa unawahudumia? Ghafla tu huwezi tena kufanya kazi yako, huwezi kwenda kutoa ile huduma ambayo umekuwa unatoa, nini kitatokea kwa mwajiri wako na hata wale wanaotegemea huduma (more…)

UKURASA WA 1162; Uzuri Utapingwa, Lakini Yafaa Kuupigania…

By | March 7, 2018

Utu ni kufanya kile ambacho ni kizuri kwako na kwa wengine pia. Japo hili siyo jambo rahisi kufanya, hata kama inaonekana ni rahisi kiasi gani. Ni kawaida kwa binadamu kupiga uzuri, kupinga kile ambacho mtu unajitoa kufanya kwa ubora wa hali ya juu. Pamoja na kupingwa huko kwa uzuri, kuacha (more…)

UKURASA WA 1161; Chagua Nafsi Moja Itakayokutawala…

By | March 6, 2018

Wanasayansi wanaanza kukubaliana na kitu ambacho viongozi wa kiroho na wanafalsafa wamekuwa wakisema tangu enzi na enzi. Kwamba upo uwezekano kwamba mtu kama mtu siyo nafsi moja. Yaani kuna uwezekano ndani yako zipo nafsi nyingi. Na ubaya ni kwamba, nafsi hizi hazikubaliani kwenye jambo lolote kwa wakati mmoja, labda mpaka (more…)