UKURASA WA 1160; Watu, Mazingira, Mtazamo Na Kesho Yako…
Kila kitu unachokutana nacho kwenye maisha yako, kinachangia namna ambavyo maisha yako yanakwenda. Hata kama unaona ni kitu kidogo kiasi gani, hakuna kisichokuwa na madhara kwako. Kwa mfano kila mtu yupo pale alipo sasa, kutokana na hatua alizochukua au kutokuchukua huko siku za nyuma. Na atakapokuwa mtu kesho, ni matokeo (more…)
