Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#TAFAKARI YA LEO; USIWEKE MATUMAINI YAKO SEHEMU MOJA…

By | November 14, 2017

Neither should a ship rely on one small anchor, nor should life rest on a single hope. – Epictetus Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Tumepata nafasi nyingine nzuri leo ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Mawazo Mazuri Yanakuja Ukiwa Umepumzika….

By | November 13, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 114 – 123. Moja ya vitu vilivyomwezesha Leornado kuwa na umaarufu mkubwa ni mawazo bora kabisa aliyokuwa anakuja nayo. Mengi yalikuwa ni mawazo ambayo alikuwa akiyapata akiwa amepumzika au akiwa anafanya kitu ambacho hakimchoshi au kuumiza akili. (more…)

UKURASA WA 1048; Fikiri, Kuwa, Zalisha…

By | November 13, 2017

Watu wengi wanaotaka kubadili maisha yao na wafanikiwe huwa wanashindwa, kila hatua wanazochukua hawapati matokeo ambayo walikuwa wanatarajia. Mwishowe wanaona kama wao hawawezi na hivyo kukata tamaa. Kinachowasababisha washindwe kupata matokeo wanayotaka, ni kwa sababu mabadiliko wanayoyafanya kwenye maisha yao siyo sahihi. Wengi wamekuwa wanajaribu kubadili nje wakati ndani kupo (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Kubali Hali Ya Kutokuwa Na Uhakika…

By | November 12, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 104 – 113. Tunaishi kwenye zama ambazo watu wanapenda kuwa na uhakika wa kile wanachofanya. Lakini hili halikuwa hivyo wakati wa Leonardo da Vinci. Katika kipindi hicho, ilikuwa ni muhimu kuweza kuvumilia hali ya kutokuwa na uhakika. (more…)

UKURASA WA 1047; Wape Watu Sababu Ya Kukuamini…

By | November 12, 2017

Moja ya vitu utakavyokazana navyo sana kwenye maisha, hasa pale unapotaka kuwa na mafanikio zaidi, ni kukutana na watu ambao wangekufaa kutokana na mahitaji yako, lakini watu hao wakawa hawakuamini. Labda ni watu ambao wana fedha na wewe unazihitaji kwa ajili ya kuanzisha au kukuza biashara yako. Au ni watu (more…)

UKURASA WA 1046; Fanya Kama Unaanza Upya…

By | November 11, 2017

Moja ya vikwazo vikubwa sana kwenye mafanikio yetu, ni sisi wenyewe. Mawazo ambayo tunakuwa nayo juu ya vitu au watu fulani, hutuzuia kabisa kuchukua hatua, hutufanya tushindwe kabla hata hatujaanza. Upo mfano mmoja wa kijana aliyeajiriwa kwenye duka kwa ajili ya kutafuta wateja. Kazi yake ilikuwa kuwatembelea watu na kuwashawishi (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Tutumie Milango Yetu Mitano Ya Fahamu Vizuri.

By | November 10, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 87 – 96. Inakuwaje pale unapokuwa na kitu kizuri ambacho kinaweza kukusaidia lakini hukitumii? Yaani ni sawa na una fedha zako mwenyewe, za kukutosha, lakini unaenda kuwa ombaomba. Hivi ndivyo wengi wanavyoishi kwenye maisha hao. Wana vitu (more…)

UKURASA WA 1045; Fanya Kwa Kiasi Na Jua Wakati Wa Kuacha…

By | November 10, 2017

Hata kitu kizuri, kikifanyika kupita kiasi, kinakuwa madhara. Kila kitu kinapaswa kufanywa kwa kiasi, na kiasi sahihi cha kufanya ni changamoto kwa wengi. Hata utafutaji wa fedha, unapaswa kufanya kwa kiasi, ili uweze kuendelea na zoezi hilo na muhimu zaidi, usiwe mtu wa kupata wewe tu na wengine wakakosa. Watu (more…)