Category Archives: FALSAFA MPYA YA MAISHA

Hapa unapata makala zinazokuwezesha wewe kujijengea falsafa mpya ya maisha yako. Ni kupitia falsafa yako ya maisha ndio unaweza kuwa na maisha bora yenye furaha na mafanikio.

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kinachotuzuia Kuujua Ukweli Na Hivyo Kushindwa Kuwa Na Maisha Bora.

By | May 22, 2016

Ujue ukweli nao utakuweka huru… Hii ni falsafa ambayo imekuwepo tangu zamani, na ni falsafa nzuri sana kwa kuwa na maisha bora na ya mafanikio. Lakini kwa bahati mbaya sana wengi tunashindwa kuitumia na hivyo kushindwa kuwa na maisha bora. Wote tunajua ya kwamba uhuru ndiyo kitu muhimu sana kwenye (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Chanzo Kikuu Cha Mafanikio Na Furaha Kwenye Maisha Yako.

By | May 15, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Karibu kwenye kipengele chetu hiki cha FALSAFA MPYA YA MAISHA ambapo tunajijengea falsafa ambayo itatuwezesha kuwa na maisha bora yenye mafanikio na furaha. Tumeshajifunza sana kuhusu mafanikio na mbinu za kufikia mafanikio. Na pia tumeshajifunza sana kuhusu furaha na vyanzo vya furaha kwenye maisha yetu. (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Dhibiti Fikra Zako, Njia Ya Kupata Uhuru Wa Uhakika.

By | May 8, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Karibu tena kwenye kipengele chetu cha FALSAFA MPYA YA MAISHA ambapo kwa pamoja tunatengeneza falsafa itakayofanya maisha yetu kuwa bora zaidi. Leo tunakwenda kuangalia njia ya uhakika ya kuwa na uhuru na maisha yetu. Kitu muhimu sana tunachotaka kwenye maisha yetu, ili tuweze kuyafurahia na (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Usiruhusu Vitu Vidogo Viharibu Siku Yako.

By | May 1, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Maisha bila ya falsafa ni sawa na bendera iliyotundikwa. Bendera hii haina maamuzi yoyote, bali hufuata uelekeo wa upepo. Hakuna hatari kubwa ya kuishi kama kukosa falsafa ya maisha yako. kwa sababu utajikuta unafanya vitu ambavyo hujui kwa nini unafanya, na vibaya zaidi unapoteza muda (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hiki Ndiyo Kinavuruga Furaha Tuliyonayo Na Jinsi Ya Kukiepuka.

By | April 17, 2016

Habari za leo mwanafalsafa ya maisha? Ni matumaini yangu unaendelea vyema sana, huku ukijijenga falsafa mpya na bora sana ya maisha yako. Naendelea kukukumbusha kwamba unahitaji kujenga falsafa mpya ya maisha yako kwa sababu maisha uliyopokea kwenye jamii hayana falsafa. Watu wanaishi kama wanavyowaona wengine wakiishi na hili limeleta changamoto (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Ubinafsi Wa Maisha Na Unavyokuzuia Kuwa Na Maisha Bora.

By | April 10, 2016

Habari za leo rafiki? Karibu tena kwenye kipengele chetu cha falsafa mpya ya maisha ambapo kwa pamoja tunakwenda kujifunza mambo muhimu kuhusu maisha ili kuweza kuyafanya maisha yetu kuwa bora, ya furaha na yenye mafanikio makubwa. maisha ndiyo kitu pekee ambacho hakuna atakayekikwepa, tutayaishi mpaka pale tutakapoacha maisha haya. Leo (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hakuna Kisichokuwa Na Mwisho Na Mambo Muhimu Ya Kujifunza Na Kuzingatia.

By | April 3, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Karibu tena kwenye kipengele hiki muhimu sana cha makala za FALSAFA MPYA YA MAISHA, ambapo kwa pamoja tunatengeneza yale maisha ambayo tunapenda kuyaishi na siyo kufuata yale ambayo kila mtu anayaishi. Leo katika makala yetu tunakwenda kuangalia dhana muhimu sana ambayo wote tunatakiwa kuielewa kuhusu (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kinachotuzuia Kuishi Maisha Ya Furaha.

By | March 27, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Ni imani yangu kwamba maisha yako yanazidi kuwa bora kadiri unavyojifunza kupitia falsafa hii mpya ya maisha na kufanyia kazi yale ambayo unajifunza. Kama ambavyo wote tunajua, dhumuni kuu la maisha yetu, kinachotusukuma tufanye kile ambacho tunafanya ni furaha. Kila mtu anapenda kuwa na maisha (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kinachotuzuia Kuujua Ukweli.

By | March 13, 2016

Ujue ukweli nao utakuweka huru. Hii ni kauli ambayo huwa inatumika kwenye falsafa za dini mbalimbali. Ili tuwe na maisha bora na ya uhuru, ni lazima tuujue ukweli. Kutokujua ukweli kunatufanya tuwe watumwa na tushindwe kuzitumia fursa mbalimbali zinazotuzunguka kwenye maisha yetu. Pamoja na umuhimu huu wa ukweli, bado ukweli (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Njia Bora Ya Kujenga Upendo Wako Kwa Wengine.

By | March 6, 2016

Moja ya misingi muhimu sana ambayo tumejifunza kwenye FALSAFA YETU MPYA YA MAISHA ni upendo. Upendo ni msingi muhimu sana na ndio kitu pekee kinachoweza kutuvusha na kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi. Bila ya upendo maisha hayawezi kuwepo, na matatizo mengi tunayopitia sasa kama dunia yanatokana na ukosefu (more…)