2060; Mipango Ni Kama Ramani…
Kama umewahi kutumia ramani kufika mahali au kukamilisha jambo, unajua wazi kabisa uhalisia huwa hauendi kama ramani kwa asilimia 100. Hata kama ni ramani ya nyumba umechorewa vizuri, ukaipenda kweli kweli na ukawa na kiasi cha fedha cha kutosha kutekeleza kila kilichopo kwenye ramani, bado nyumba iliyokamilika haitafanana na ramani (more…)
