#TAFAKARI YA LEO; SIYO LAZIMA UWE NA MAONI KWENYE KILA JAMBO…
Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana kwetu. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha (more…)
