#TAFAKARI YA LEO; HAKI YA KUZALIWA NA HAKI YA KUPATA…
Siku mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Ni nafasi nzuri sana kwa kila mmoja wetu kwenda kupiga hatua zaidi kwenye maisha yake, Leo, kwenda kuwa bora zaidi ya ulivyokuwa jana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa (more…)
