#TAFAKARI YA LEO; KUNA WAKATI KUISHI NI TENDO LA KISHUJAA…
Sometimes even to live is an act of courage. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki kwa siku hii nzuri na ya kipekee wana kwetu. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Pia kwa mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tutaweza kufanya (more…)
