Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA LEO; USHINDI UNALETA USHINDI ZAIDI…

By | October 15, 2017

Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Ni siku nyingine nzuri na ya kipekee ambapo tumepata nafasi ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. Asubuhi (more…)