#SheriaYaLeo (133/366); Kuwa makini na wema unaoonyeshwa.
#SheriaYaLeo (133/366); Kuwa makini na wema unaoonyeshwa. Mara nyingi watu hukazana kuonyesha wema fulani kwa nje ili waonekane wanafanya kwa manufaa ya wengine. Lakini ndani yao wanakuwa wameficha sababu halisi ambayo ni kujinufaisha wao wenyewe zaidi. Kuwa makini sana na wema unaoonyeshwa kwa nguvu kubwa, kwa sababu unakuwa umeficha ulaghai (more…)
