1543; Kama Hujui Kitu Uliza, Usijipe Majibu Yako Mwenyewe…

By | March 23, 2019

Mara nyingi huwa tunajipa majibu ya vitu ambavyo siyo sahihi. Mtu unakuwa hujui kitu fulani, kuhusu mtu au jambo, lakini unaamua kujipa majibu wewe mwenyewe, ambayo huwa siyo sahihi, bali ni matokeo ya fikra ulizonazo. Kwa njia hii tumekuwa tunajidanganya sana sisi wenyewe, tumekuwa tunajipa majibu ambayo siyo sahihi. Kwa (more…)

1542; Ondoka Kwenye Maamuzi Ya AMA/AU Na Nenda Kwenye Maamuzi Ya PAMOJA/NA.

By | March 22, 2019

Rafiki, eneo kubwa tunalokwama katika kupiga hatua kwenye maisha ni aina ya maamuzi ambayo tunafanya. Kwa kuwa maamuzi ndiyo yanayoamua ni hatua zipi tunachukua, tukifanya maamuzi bora tutachukua hatua kubwa na tukifanya maamuzi mabovu tutachukua hatua ambazo siyo nzuri. Kuna mitazamo miwili ya kufanya maamuzi ambayo unapaswa kuijua na kujua (more…)

#TAFAKARI YA LEO; DALILI ZA KUWA UMEELIMIKA KWELI…

By | March 22, 2019

“What is it then to be properly educated? It is learning to apply our natural preconceptions to the right things according to Nature, and beyond that to separate the things that lie within our power from those that don’t.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 1.22.9–10a Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri (more…)

1541; Kinachojenga Au Kubomoa Maisha Yako Ni Kitu Hiki Kimoja…

By | March 21, 2019

Kuna kitu kimoja ambacho kina nguvu ya kujenga au kubomoa maisha yako. Kitu hicho ni mahusiano yako na watu mbalimbali kwenye maisha yako. Ubora wa mahusiano yako na wengine ndiyo ubora wa maisha yako. Yaani maisha yako yatakuwa bora kadiri mahusiano yako na wengine yanavyokuwa bora. Utakuwa na maisha bora (more…)

1540; Maendeleo Binafsi Siyo Ubinafsi…

By | March 20, 2019

Moja ya uwekezaji bora kabisa unaoweza kufanya kwenye maisha yako ni kwenye maendeleo yako binafsi. Kujifunza vizuri vipya ili kuwa bora zaidi kutakuwezesha kupiga hatua sana kwenye maisha yako. Lakini jua siyo kwamba hili litakusaidia wewe pekee, bali litawasaidia wengine wengi na hata dunia kwa ujumla. Kama umeajiriwa na ukawekeza (more…)

1539; Tatizo Kubwa La Watu Wa Kawaida…

By | March 19, 2019

Tatizo kubwa la watu wa kawaida, ambao ndiyo sehemu kubwa ya watu katika zama hizi, hawapo kwenye chochote wanachofanya. Watu hawa wanaangalia lakini hawaoni, Wanasikiliza lakini hawasikii, Wanakula lakini hawaipati ladha, Wanagusa lakini hawapati hisia, Wanavuta pumzi bila ya kusikia harufu, Wanatembea bila ya kuwa na uelewa wa hatua mwili (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KANUNI KUU MBILI ZA HEKIMA…

By | March 19, 2019

“For there are two rules to keep at the ready—that there is nothing good or bad outside my own reasoned choice, and that we shouldn’t try to lead events but to follow them.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 3.10.18 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri (more…)