UKURASA WA 1274; Siyo Kosa La Yeyote, Hivyo Chukua Hatua…

By | June 27, 2018

Ni kawaida yetu sisi binadamu, pale mambo yanapokwenda vibaya, tunapopata matokeo tofauti na tuliyotegemea, huwa tunaanza kuangalia nani kasababisha, nani kapelekea mpaka tukapata matokeo hayo. Huwa hatuamini kwamba sisi wenyewe ndiyo tunaweza kuwa tunahusika, kwa sababu tunapenda kupeleka lawama kwa wengine. Leo nataka kukukumbusha hili muhimu sana mwanamafanikio, siyo kosa (more…)

UKURASA WA 1273; Pamoja Na Mipango Mikubwa Uliyonayo, Jikubali Kwanza…

By | June 26, 2018

Kila kitu kina faida na hasara, kila kitu. Faida ya kuwa na malengo na mipango mikubwa kwenye maisha yako ni kwamba kama hutakata tamaa, utafikia malengo na mipango hiyo na maisha yako yatakuwa bora sana. Lakini ipo hasara ya kuwa na malengo na mipango mikubwa, ambayo ni kushindwa. Utashindwa kwenye (more…)

UKURASA WA 1272; Ndiyo Unaweza Kupata Vyote, Na Unapaswa Kupata Vyote…

By | June 25, 2018

Tofauti kubwa ya wale waliofanikiwa sana na wale ambao hawajafanikiwa ni kwenye fikra zao kuhusu kupata vile vitu wanavyotaka. Waliofanikiwa sana wanajua wanaweza kupata vyote, vile wanavyovitaka wanaweza kuvipata na hawajiwekei ukomo. Na hata kama hawapati mwanzoni, hawajiumizi kwa sababu hawajapata, bali wanaangalia wanawezaje kupata vyote, na hapo wanapata njia (more…)

UKURASA WA 1271; Nzuri Si Nzuri Tena…

By | June 24, 2018

Rafiki, kwenye kila eneo la maisha yetu, tunaweza kuvipanga vitu kwenye makundi manne. Bora, nzuri, kawaida na hovyo. Tukitaka tunaweza kuongeza makundi mawili zaidi, bora sana na hovyo kabisa. Lakini napenda tubaki na makundi hayo manne, ili tuweze kupanga vizuri hatua za kuchukua. Hovyo ni kitu ambacho hakipaswi kufanywa kabisa, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIIPOTEZE LEO…

By | June 24, 2018

“Expecting is the greatest impediment to living. In anticipation of tomorrow, it loses today” – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU (more…)

UKURASA WA 1270; Kukazana Kubaki Hapo Ulipo…

By | June 23, 2018

Tatizo letu sisi watu, huwa tunaanzia chini kabisa, tukijua hatuna kitu na hivyo hatuna cha kupoteza. Tunaweka juhudi kubwa sana, tunachukua hatari kubwa kwa sababu tunajua hakuna tunachoweza kupoteza. Juhudi hizo na hatari tunazochukua zinaanza kuzaa matunda. Tunaanza kupata vitu ambavyo hatukuwa navyo hapo awali. Na hapo ndipo matatizo makubwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MABADILIKO MADOGO NDIYO MAISHA…

By | June 23, 2018

“True life is lived when tiny changes occur.” — Leo Tolstoy Siku mpya, siku bora na siku ya kipekee sana kwetu. Ni nafasi nyingine nzuri kwako mwanamafanikio kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana leo. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa (more…)