UKURASA WA 1212; Njia Tatu Zinazojitokeza Mbele Yako Baada Ya Kutoka Kwenye Umasikini…

By | April 26, 2018

Kuna njia tatu za kuondoka kwenye umasikini, Njia ya kwanza, mtu ni masikini, anaweka juhudi anapata fedha za kumtoa kwenye umasikini, lakini haichukui muda anarudi tena kwenye umasikini. Na njia hii hutumiwa zaidi na wale ambao wanapata fedha za haraka, ambazo hawajaweka juhudi kubwa, mfano kushinda bahati nasibu au kurithi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; WAKATI UNAAHIRISHA, MAISHA YANAKUPITA…

By | April 26, 2018

“Hold every hour in your grasp. Lay hold of to-day’s task, and you will not need to depend so much upon to-morrow’s. While we are postponing, life speeds by.” – Seneca. Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuishi kwa msingi (more…)

UKURASA WA 1211; Julikana Umesimama Upande Upi…

By | April 25, 2018

Moja ya vitu vinavyowazuia watu kufanikiwa, ni kutokujulikana wamesimama upande upi kwenye kila jambo wanalojihusisha nalo kwenye maisha. Wengi huwa wanaonekana kukaa kati kati, wasijulikane kama ni moto au baridi, nyeusi au nyeupe. Wengi hufikiri kwa kutokuwa na upande, basi hawatamkasirisha yeyote, hawatakosolewa na yeyote na hivyo maisha yao hayatakuwa (more…)

UKURASA WA 1210; Ushauri Wa Kujitolea…

By | April 24, 2018

Kitu rahisi kabisa kufanya duniani, ni kutoa ushauri, kila mtu anaweza kufanya, hata mtoto wa miaka mitano anaweza kushauri. Na ndiyo maana, kila mtu huwa ana ushauri wa kutoa kwenye jambo lolote lile, hata kama siyo mtaalamu na hana uzoefu. Watu watatoa hata ushauri waliosikia wengine wanatoa. Sasa katika ushauri, (more…)

UKURASA WA 1209; Sharti La Kwanza La Unachotaka Kubadili…

By | April 23, 2018

Watu wengi huwa wanapenda kubadili vitu mbalimbali kwenye maisha yao, lakini wanashindwa. Wanataka kuibadili dunia, lakini kila wanachojaribu kinawashinda. Wanataka kuwabadili wengine, lakini kila juhudi wanazotumia zinashindwa. Wanataka kuibadili dunia lakini hawajui hata waanzie wapi. Lipo sharti la kwanza muhimu sana unalopaswa kuzingatia kwenye chochote unachotaka kubadili. Sharti hilo ni (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UTAWAJUA WATU KWENYE UGUMU…

By | April 23, 2018

“Difficulties are things that show a person what they are” – Epictetus Hongera rafiki kwa siku hii nzuri na ya kipekee kwetu, Ni siku mpya ambapo tumepata nafasi mpya ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA ambapo tunakwenda kufanya (more…)

UKURASA WA 1208; Panga, Jiandae, Tegemea…

By | April 22, 2018

Watu wengi huwa wanakwama kwenye safari ya mafanikio, Wanakuwa wanajua kabisa nini wanataka kwenye maisha yao, lakini wanashindwa kuchukua hatua ili kuweza kufika au kupata kile wanachotaka. Wengi huwa hawajui ni wapi wanakwama, na hivyo inakuwa vigumu kwao kuchukua hatua. Lakini ukipata nafasi ya kuchunguza kwa undani, utakuta watu wengi (more…)

UKURASA WA 1207; Watu Wanaposikia Jina Lako, Wanapata Picha Gani?

By | April 21, 2018

Umewahi kusikia watu wanasema mtu fulani ana jina kubwa? Umewahi kuona biashara ambazo zina majina makubwa? Na biashara hizo unakuta zinauza siyo kwa sababu zina bidhaa au huduma bora kuliko biashara nyingine, bali kwa sababu ni jina linaloaminika. Kwenye dunia ambayo ina kelele za kila aina, watu hawawezi kufanya maamuzi (more…)