💥 #TAFAKARI YA LEO; ACHA KUJIDANGANYA…

By | June 21, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni siku nzuri na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUACHA KUJIDANGANYA…. (more…)

UKURASA WA 903; Njia Bora Ya Kuwapima Wanaokuzunguka Kama Wanakufaa…

By | June 21, 2017

Maisha yako ni wastani wa watu watano wanaokuzunguka, huu ni ukweli ambao watu wengi huwa hawapendi kukubaliana nao. Kwa sababu huwa tunapenda kuona tuna uwezo mkubwa kuliko uhalisia. Kama ambavyo ulipokuwa mtoto wazazi walikukataza kucheza na watoto fulani kwa sababu ya tabia zao mbaya, nina hakika uliwaambia au ulijiambia, mimi (more…)

BIASHARA LEO; Kama Una Bango La Aina Hii Kwenye Biashara Yako, Liondoe Leo.

By | June 20, 2017

Biashara za karne hii ya 21 zimebadilika sana, lakini bado watu wengi wanafanya biashara zao kama vile tupo kwenye karne ya 19. Watu wanafanya biashara zao kwa mazoea na hili linawagharimu sana. Kuna bango moja huwa nashangaa kuliona mpaka leo kwenye maeneo ya biashara, au hata kwenye risiti za baadhi (more…)

By | June 20, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Umeianzaje siku hii nzuri sana ya leo. Hongera kwa nafasi hii nyingine, ambapo ni fursa nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo bora. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA utakaotuwezesha kufanya makubwa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu UPO KWENYE NJIA SAHIHI… (more…)

UKURASA WA 902; Kichwa Kilichotulia….

By | June 20, 2017

Niliwahi kushuhudia ajali moja siku za nyuma sana, ambapo dereva alikuwa anamkanyaga mtu, watu wakapiga kelele sana ‘unagongaaa!’ dereva akataharuki, akarudi nyuma akamkanyaga zaidi mtu yule na kupelekea kumuumiza zaidi ya alivyofanya awali. Hayo yote yalitokana na dereva kutaharuki, unapotaharuki kichwa kinakuwa hakijatulia na hivyo kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Siku (more…)

BIASHARA LEO; Biashara Yako Ni Kuwafurahisha Watu…

By | June 19, 2017

Hitaji kubwa sana la kila mwanadamu, ukishaondoa yale ya kuhakikisha anaendelea kuwa hai, basi ni kujaliwa na wengine, kuonekana wa thamani mbele ya wengine. Hichi ni kitu ambacho watu wanakipigania kweli. Yaani ukiwaangalia watu usoni ni kama wamejibandika ujumbe unaosema TAFADHALI NITHAMINI…. Watu wanapenda sana hilo. Watu wanapothaminiwa, wanapoona wana (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MAONI YA WENGINE…..

By | June 19, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MAONI YA WENGINE…. Katika (more…)

UKURASA WA 901; Majibu Ya Maajabu…

By | June 19, 2017

Kitu chochote ambacho unataka kujua, kipo hapo ulipo, kipo ndani yako na kipo wazi kabisa mbele yako. Lakini tatizo ni kwamba huamini majibu ambayo unayo, ambayo yako ndani yako, na ambayo yako mbele yako. Badala yake unaamini yapo majibu ya maajabu, majibu ambayo umefichwa na hujawahi kuyaona. Na hivyo unakazana (more…)

BIASHARA LEO; Anza Kuiua Biashara Yako Wewe Mwenyewe….

By | June 18, 2017

Ukweli ni kwamba, watu wamekuwa wanaua biashara zao wao wenyewe, bila ya kujua kama wanafanya hivyo. Na hili linakuwa changamoto kwao kwa sababu wanakuja kustuka mambo yakiwa yameshaharibika sana. Wateja wameshaondoka, hasara imeshakuwa kubwa na hakuna namna ya kuiokoa tena biashara ile. Mimi ninachotaka kukuambia leo ni uanze kuiua biashara (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; UPO TAYARI KWA MIAKA MITANO?

By | June 18, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku. Asubuhi ya leo tunakwenda kutafakari kuhusu (more…)