💥 #TAFAKARI YA LEO; TATUA TATIZO….

By | June 13, 2017

Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo rafiki. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUTATUA TATIZO…. Dunia ina matatizo, Watu wana (more…)

UKURASA WA 895; Uhakika Wa Asilimia 100…

By | June 13, 2017

Hakuna jambo lolote kwenye maisha yetu ambalo tuna uhakika nalo kwa silimia mia moja, hivyo kwa kila tunachofanya, kuna nafasi ya kupata kile tunachotaka kupata, na nafasi ya kukosa. Japo unaweza kuwa unataka sana kitu fulani kitokee, na ukafanya kila ambacho unapaswa kufanya, bado matokeo yanaweza kuwa tofauti na usiweze (more…)

UKURASA WA 894; Kushindana Na Watu Bilioni Saba…

By | June 12, 2017

Unahitaji kuwa bora zaidi kwenye kile ambacho unakifanya, bora kabisa duniani, kwa kuweza kukifanya kwa namna ambavyo hakijawahi kufanywa na yeyote duniani. Lakini changamoto ni kwamba, dunia ina watu zaidi ya bilioni saba, na karibu wote wanakazana kufanya vitu vile vile ambavyo vinafanana. Hili linapelekea ushindani kuwa mkali, watu bilioni (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; NEXT MOVE…

By | June 11, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NEXT MOVE, au tukio linalofuata. Iko (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Dawa Ya Msongo Wa Mawazo Ni Hii.

By | June 11, 2017

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu, Karibu kwenye makala yetu ya leo ya FALSAFA MPYA YA MAISHA ambapo tunajifunza mbinu za kifalsafa za kuyafanya maisha yetu kuwa bora zaidi, yenye mafanikio na furaha. hakuna popote tunapofundishwa falsafa ya aina hii, hivyo inabidi tuitengeneze wenyewe na kuweza kuiishi ili maisha yetu yaende (more…)

UKURASA WA 893; Kama Huwezi Kubadili Unachofanya, Badili Hichi…

By | June 11, 2017

Katika safari ya maisha ya mafanikio, kile unachofanya, kinahusika sana kwenye mafanikio yako. Na wengi wamekwama kufanikiwa kwa sababu kile wanachofanya kinawazuia. Kile wanachofanya, iwe ni kazi, biashara au chochote, kinakuwa kikwazo kwao kupiga hatua kubwa kwenye maisha yao. Na sababu kuu ni kwamba wengi huona kama wanapita tu. Huwa (more…)

UKURASA WA 892; Chukua Hasara, Nawa Mikono, Songa Mbele….

By | June 10, 2017

Safari ya mafanikio siyo rahisi, haijawahi kuwa na haitakuja kuwa. Ni mchakato wenye changamoto nyingi sana. Nyingine zinaweza kutokana na watu ambao walipaswa kutekeleza majukumu yao kama mlivyokubaliana, lakini wasifanye hivyo. Na hii kupelekea wewe kupata hasara au kupoteza zaidi. Inapotokea hali hii, watu wengi hukimbilia kuwachukulia hatua wale ambao (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; EFFORTLESS SUCCESS…

By | June 9, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili tuweze kupata matokeo bora sana. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya mambo makubwa kwenye leo na kila siku kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo titafakari kuhusu (more…)