Kama Unaoa/olewa Kwa Sababu Hii, Maisha Yameshakuvuruga.
(more…)
(more…)
Tulishasema kwamba jambo muhimu kabisa kwenye biashara ni kujua mteja wako ni nani. Kama upo kwenye biashara na humjui mteja wako basi hujui ni nini unafanya kwenye biashara yako. Na ninaposema kumjua simaanishi kumjua kwa jina, bali kujua sifa za mteja wako kuanzia umri, kipato, anakoishi na mengine kama hayo. (more…)
Swali muhimu sana hilo kujiuliza kama hujawahi kufanya hivyo. Ngoja nikuulize tena vizuri ili twende sawa, Je unalipwa mshahara kwa sababu unaonekana kazi au kwa sababu una thamani unayotoa kwenye kazi yako? Je mteja wa biashara yako ananunua kutoka kwako kwa sababu amekuona na wewe unafanya biashara au kwa sababu (more…)
Tatizo la kushindana kwa bei kwenye biashara ni kwamba linawamaliza wote mnaoshindana. Watu wengi huwa wanafikiri kwamba kwa kuweka bei ndogo basi ndio wanavutia wateja wengi. Hivyo wanaweka bei ndogo na mwanzoni wateja wanakuja kweli, baadae mshindani wako naye anashusha bei na wateja wanaenda kwake tena. Mnafanya mchezo huu kwa (more…)
Mpaka sasa umeshajifunza mambo mengi sana kuhusu mbinu za kuboresha kazi yako, biashara yako na hata maisha yako kwa ujumla. Lakini mbona bado huchukui hatua yoyote ili kuweza kunufaika na yale ambayo unajifunza? Mpaka sasa unajua kabisa ya kwamba kwa kufanya kile ambacho kila mtu anafanya utaendelea kupata matokeo ambayo (more…)
(more…)
Kama jibu lako ni sina mteja basi jitathmini vizuri. Kwanza kabisa kila mmoja wetu ana mteja, kama wewe ni mtu mzima na unaishi basi una mteja au una wateja wengi sana. Wateja hawaishii kwa wafanyabiashara tu. Wateja wapo kwa kila mtu. Kama wewe ni mfanyabiashara, mteja wako au wateja wako (more…)
(more…)
Jana nilikushirikisha sababu kubwa ya matatizo kwenye mahusiano yetu sisi na watu wengine. Na kama ukiweza kuondokana na chanzo kile basi utapunguza sehemu kubwa sana ya matatizo kwenye mahusiano yako iwe ya kikazi, kibiashara, kindugu au kimapenzi. Kama hukupata nafasi ya kusoma kile tulichojadili jana basi kisome hapa; Matatizo Yote (more…)
Mafanikio ni tabia, vingine vyote ni nyongeza tu. Unaweza kuiweka kauli hiyo mahali ambapo unaweza kuiona kila siku ili iwe msisitizo kwako kuchukua hatua ya kujijenge atabia nzuri na zitakazokufikisha kwenye mafanikio. Kwanza kabisa tunaanza kwa kujenga tabia, halafu baadae ytabia zinatujenga. Kwa mfano kama umewahi kujifunz (more…)