Jinsi Ya Kufanya Marekebisho Kwenye Template Uliyobadili.

By | April 21, 2014

Kwenye makala ya blogger iliyopita tuliona jinsi unavyoweza kubadili template ya blog yako na kuifanya iwe na muonekano mzuri zaidi. Pia niliweka link mbalimbali ambapo unaweza kudownload template nzuri bure kabisa. Baadae tulikwenda hatua kwa hatua kuibadili template. Kama ulikosa mafunzo haya bonyeza maandishi haya. Leo tutaangalia kufanya marekebisho kwenye (more…)

Dalili Kumi Kwamba Tayari Wewe Ni Kiongozi.

By | April 20, 2014

Kwenye makala zilizopita tumeona ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi. Pamoja na umuhimu huo sio watu wote ni viongozi na sio watu wote wataweza kuwa viongozi. Na hata ambao ni viongozi sio wote ni viongozi bora wanaotoa matokeo mazuri. Pia tumejifunza kwamba kiongozi anaweza kuzaliwa au kutengenezwa. (more…)

Aina Tisa Za Thamani Ya Kiuchumi Kwenye Biashara.

By | April 16, 2014

Mteja anapotoa hela kwa ajili ya kununua biashara yako au kulipia huduma yako ina maana kwamba kuna thamani kubwa ya kiuchumi ameiona kwenye bidhaa hiyo ambayo inazidi umuhimu wa hela anayotoa. Hakuna mtu anayependa kupoteza fedha zake hasa pale ambapo zimepatikana kwa shida. Hivyo mpaka mteja achukue hatua ya kukupa (more…)

Makosa Makubwa Matano Yanayoweza Kukuharibu Wewe Kama Kiongozi.

By | April 13, 2014

Ili uweze kufanikiwa kwenye uongozi kuna mambo muhimu unatakiwa kuwa unafanya na pia kuna mambo mengine unatakiwa kuepuka kufanya. Katika makala zilizopita tumekuwa tukiangalia mambo muhimu ya kufanya ili kuweza kufanikiwa kwenye uongozi. Ili kuwa kiongozi mzuri ni muhimu kuwa na maono, ushawishi, ushirikiano na uadilifu. Kuwa na mpango mikubwa (more…)

Kama Una Kitu Hiki Kimoja Una Uhakika wa Zaidi ya 90% Wa Kufanikiwa Kwenye Chochote Unachofanya.

By | April 9, 2014

Kuna tabia moja muhimu sana ambayo inaonekana kwa watu waliofanikiwa sana kwenye kila nyanja ya maisha. Tabia hii kuna watu wengi wanayo ila hawajajijua na kuanza kuitumia na hata kama huna unaweza kuiendeleza na wewe ukafanikiwa sana kwenye maisha yako. Kabla ya kuiangalia tabia hiyo hebu kwanza tuone tafiti zilizofanywa (more…)

Kama Una Tabia Hizi 30 Tayari Wewe Ni Mjasiriamali, Chukua Hatua.

By | April 8, 2014

Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala mkubwa ikiwa mjasiriamali anazaliwa au anatengenezwa. Kwa kuangalia tabia za wajasiriamali na tabia za binadamu kwa ujumla, wajasiriamali wana tabia za kipekee. Wajasiriamali wanafikiri tofauti na wanatenda tofauti na watu wengine kwenye jamii. Tabia za kipekee zinazooneshwa na wajasiriamali kuna ambao wamezaliwa nazo na (more…)

Sababu Kumi Kwa Nini Ni Muhimu Wewe Kuwa na Blog.

By | April 7, 2014

  Blog ni sehemu ndogo ya mtandao wa internet ambapo unaweza kuweka maoni au maandiko yako na yakaonekana dunia nzima. Tofauti na website(tovuti), blog ni rahisi kuanzisha, rahisi kuendesha na haihitaji gharama kubwa, unaweza kuendesha bure kabisa.   Kuna faida nyingi sana za wewe kuwa na blog, katika makala, tengeneza (more…)

Siri Kumi za Mafanikio Kwenye Uongozi.

By | April 6, 2014

Katika watu wengi wanaopewa nafasi za kuongoza kuna wachache sana ambao wanakuwa ni viongozi bora. Wengine wanaishia kuwa tu na majina ya uongozi ila wanashindwa kufanya mambo makubwa kupitia nafasi zao za uongozi. Mpaka unasoma hapa naamini unataka kuwa kiongozi bora. Ili uweze kupata mafanikio kwenye uongozi, kuna tabia kumi (more…)