Sababu Tano Kwa Nini Huwezi Kutajirika Kwa Kuajiriwa.

By | May 25, 2014

Zamani kidogo mafanikio kupitia ajira yalikuwa makubwa sana hasa kwa wale waliokuwa wamesoma. Uchumu ulikuwa mzuri, usalama wa kazi ulikuwa wa uhakika na maisha hayakuwa magumu sana. Mtu alikuwa na uhakika wa kukaa kwenye kazi, kupanda ngazi ya uongozi kazini kwa kupandishwa cheo na baadae kuwa afisa mkubwa sana kwenye (more…)

MUDA; Ufanye nini kwenye muda wa ziada uliotengeneza?

By | May 20, 2014

Wiki iliyopita tuliona jinsi ya kuweza kupata masaa mawili ya ziada kila siku. Masaa haya tuliyapata sio kwa miujiza bali kwa kubadilisha vipaumbele vyetu. Mara nyingi unajikuta unafanya mambo ambayo hayana msaada wowote kwako ila ndio umeyapa kipaumbele kikubwa. Katika njia nyingi za kupata muda wa ziada kila siku kuna (more…)

Jinsi Ya Kuweka Networked Blogs Kwenye Blog Yako.

By | May 15, 2014

Networked blogs ni program ya kwenye mtandao ambayo inakuwezesha kuunganisha blog yako moja kwa moja na mitandao ya kijamii ambayo ni facebook na twitter. Kwa kuwa na akaunti kwenye networked blogs utaunganisha account yako ya twitter, faceebook, page za facebook unazomiliki na magroup ya facebook unayosimamia. Kwa kuwa na program (more…)

Muda; Pata Masaa Mawili Ya Ziada Kila Siku.

By | May 13, 2014

Kwa wiki nzima kuanzia jumanne iliyopita nilikushauri unakili muda wa kila kitu unachokifanya unapoanza na unapomaliza. Kuna uwezekano umefanya au pia hukufanya. Kama ulifanya hivyo mpaka sasa utakuwa umeona muda wako mwingi unaupotezea wapi. Leo tutaangalia ni jinsi gani unaweza kupata masaa mawili ya ziada kila siku. Ninaposema utapata masaa (more…)

Jinsi Ya Kuweka Autoresponder Kwenye Blog Yako.

By | May 11, 2014

Kama unavyojua kwamba ni muhimu sana kutengeneza email list kwa ajili ya kujenga uhusiano mzuri na wasomaji wako. Na kwa wale waliosoma kozi ya JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG tulijadili vizuri umuhimu wa email list na jinsi gani unaweza kupata watu wengi wanaojiunga na email list (more…)

Unaendeleaje Na Zoezi La Kujua Matumizi Ya Muda Wako?

By | May 9, 2014

Wiki hii tuko kwenye zoezi la kujua matumizi ya muda wetu yakoje. Kama tulivyokubaliana ni kwamba tutaandika kwenye karatasi au kijitabu kidogo kila muda tunaotumia kufanya jambo lolote. Yaani utaandika muda ulioanza kufanya na muda ulipomaliza kufanya. Katika wiki hii fanya hivi bila ya kujilazimisha kurekebisha chochote, endelea kuishi maisha (more…)

MUDA; Nusu Ya Muda Wa Maisha Yako Unaipoteza Na Hujui Inapotelea Wapi.

By | May 6, 2014

Karibu sana kwenye kipengele cha TABIA ZA MAFANIKIO ewe msomaji na msafiri mwenzangu katika safari ya mafanikio makubwa sana. Kama nilivyoahidi kila mwezi tutakuwa tukijadili tabia moja ya mafanikio na kuona jinsi gani inatuzuia kufikia mafanikio na njia zipi tunaweza kutumia kuboresha tabia hiyo ili tuweze kufikia mafanikio makubwa. Kila (more…)

Mambo Mapya Na Mazuri Ndani Ya KISIMA CHA MAARIFA; Usikose.

By | May 5, 2014

Kupitia kisima cha maarifa sasa tutaanza kutoa mafunzo ya kubadili au kutengeneza tabia za mafanikio. Kwanzia mwezi wa tano kila mwezi tutakuwa tunaandika kuhusu tabia moja muhimu ya kukufikisha kwenye mafanikio. Kila siku ya jumanne ya kila wiki utapata makala moja kwenye kisima cha maarifa ikielezea umuhimu wa tabia tunayozungumzia (more…)

Mambo Kumi Muhimu Unayotakiwa Kujua Kabla Hujaacha Kazi Na Kwenda Kujiajiri.

By | April 30, 2014

Kutokana na ugumu wa ajira kwenye zama hizi watu wengi wanaona kujiajiri au kuwa mjasiriamali ndio njia mbadala ya kuyakomboa maisha yao. Hivyo kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuondoka kwenye kazi na kwenda kujiajiri au kuanzisha biashara zao. Ni kitu kizuri sana kwa sababu angalau watu wanaweza kuwa na (more…)

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka CHUMA ULETE Kwenye Biashara Yako.

By | April 25, 2014

Pamoja na kwamba mambo yamebadilika sana hasa kwenye zama hizi za sayansi na teknolojia, kuna wafanyabiashara wengi sana ambao bado wameshikilia imani za kishirikina au uchawi katika biashara. Moja ya imani hizo ni kitu kinaitwa CHUMA ULETE. Kama hujui CHUMA ULETE, maana yake ni kwamba wewe unachuma halafu unampelekea mwenzako (more…)