By | December 5, 2012

Biashara na matangazo na njia moja wapo ya kutangaza biashara yako ni kupitia mtandao. watu wengi wanapata mitandao kwa kutumia kompyuta au hata simu. hivyo ni rahisi kuwafikia watu wengi kwa kutangaza kwa njia ya mtandao. kutangaza biashara kwa njia ya mtandao ni gharama rahisi sana. ili kuweza kutangaza biashara (more…)