JE WAJUA; Mamba kumeza mawe.

By | October 22, 2014
Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa gasrolith.Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;1.  Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.2. Humsaidia kusaga chakula tumboni.3. Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia ameshiba hata kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In