Tag Archives: NENO LA BUSARA

#NENO_BUSARA; Tatizo La Vitu Ambavyo Ni Rahisi Kufanya.

By | May 29, 2015

Tatizo la vitu ambavyo ni rahisi kufanya ni kwamba ndio vitu ambavyo ni rahisi kutokufanya. Ni rahisi sana kuwa na afya bora, kwa kula vyakula bora, mboga mboga na matunda. Lakini pia ni rahisi sana kutokula vyakula hivyo, kutokana na wingi wa vyakula visivyo vya afya. Ni rahisi sana kufikia (more…)

#NENO_BUSARA; Matumaini Sio Mpango.

By | May 7, 2015

Mara nyingi mambo yanapokwenda vibaya, au yanapokuwa magumu mtu huwa na matumaini kwamba hali itabadilika tu. Sio vibaya kuwa na matumaini, ila nataka nikukumbushe kwamba matumaini sio mpango. Ukiacha mambo yawe mazuri yenyewe huo sio mpango mzuri kwako na hivyo huwezi kupata kilicho bora. Kama unataka kuondoka kwenye hali ngumu (more…)

NENO LA LEO; Kila Kinachotoke Kwenye Maisha Yako Ni Fursa Ya Mambo Haya Mawili.

By | April 23, 2015

I believe that every single event in life happens in an opportunity to choose love over fear. -Oprah Winfrey Naamini kwamba kila tukio linalotokea kwenye maisha ni fursa ya kuchagua kati ya upendo au woga/hofu. Kila tukio linalotokea kwenye maisha yako, linaweza kukupeleka mbele au linaweza kukurudisha nyuma. Hii itatokana (more…)

Weka Mayai Yako Yote Kwenye Kikapu Kimoja, Halafu Fanya Hivi….

By | April 21, 2015

#NENO_LA_BUSARA.. Kuweka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja ni hatari. Sasa weka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja na KILINDE SANA KIKAPU HIKO, kama unavyoyalinda maisha yako. Ni rahisi kufikisha kikapu kimoja chenye mayai kumi sokoni kuliko kufikisha vikapu kumi vyenye yai moja moja. Uwe na mapambano mema. TUPO PAMOJA. (more…)